Mashida za kujitakia…

April 20 2015 3:30pm     0 286

Photo Credit:Google   Tingua risto

Imeshakuwa ngoma sasa, kushinda ukiskia mayut wakilia venye wako jobless na venye hanaku msee kwa gava anawajali. 

Lakini kusema ukweli kuna venye priorities zilishift tenee. Kulingana na Godwin wa Youth economic empowerment Trust, mayut wamekuwa corrupt na lazy kuruka.

Godwin anazidi  kublame hao mayut akidaisha hawajachukua into actions risto zinahusiana na economy yao na community. Hadi wamelemewa kushare info yenye inaweza tumika kusaidia kumekisha bizna ama forms za employment nira.

Kumbe wera mayut wanatambua sana ni kuchase maleader wakidaisha kupewa hand outs badala ya kutumia opportunity kama hiyo kuchange ama kuinfluence leaders kumekisha decisions zinaweza saidiana kimaisha. Ama badala ya kukuwa involved, ata heri kucreate awareness kwa issues bwaku kama corruption.

Kuzidisha wamejikubalisha kukuwa divided kwa political na tribal affiliations alafu wanarudi kuvotia wadhii wenye hawaleti maendeleo kwa country. Alafu bado mayut watalia venye hanaku security na wenyewe ndio solution bana! Manze mayut raukeni kutoka kwa hiyo singis, na si tafadhali.

Related Stories