Malanga kujipata kwa noma…

April 23 2015 6:25pm     0 393

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kumbe macustomer wa siku hizi wamekuwa matapee juu wanahepa na mkwanja ya malanga. Lakini inasemekana eti wenye wanatumia nangos kulipia services, hurudi kureverse transactions madakika later.

Kumaanisha biz imekuwa down juu ni kama wanageiyana services sare. Blanda ni eti, hao macustomer humuja wakidaisha service ya mkwanja mob alafu wanalipa poa lakini akishatoka mashimoni, wanacall customer care kudaisha wametuma doh kwa mbana wrong.

Ngori zaidi ni vile hanaku venye wanaweza zusha ama kujitetea kwa msee wowote, juu ya hisihi janta yao. Inakaa itabidi wamechanuka mapema na kusaka njaro ya kujisave.

Related Stories