Draw ya Champions league

April 24 2015 11:05am     0 726

Photo Credit:Simon Rice   Tingua risto

Leo Friday date 24th April, ni day fans wa futa wametegea sana, mostly husemekana kwa tona ya futa the moment iko karibu kudedi. Game ikiwa kwa semi finals huwa noma sana kuliko ata finals, kulingana na fans wengi wa foota.

Sasa leo kuna draw ya UEFA Champions League ya kuplay semi finals. Team zilipenya ni Real Madrid, Barcelona, Juventus na Bayern Munich. Results zilitokea the moment Real iliweza shinda Atletico Madrid, juve nao pia wakaweza kukalia chapo Monaco. Barca nao waka unleash game jamo noma waka kung’uta PSG. And then wasee walikuwa na spectacular match ni Bayern Munich wakiriada Porto FC dude sita kwa jamo.

Hasapa tunacheki hanaku team yeyote kutoka England, na tunajua fans wengi wa hasapa 254 hulike ligi ya England. Arsenal, Chelsea, Manchester City team zote sodi za husuko haziku manage kufika hiyo level ya tona.

Draw yenyewe ita happen kwa headquarters za UEFA husuko Swiss magidhaa za saa sita mchana idhaa ya hasapa 254.

Related Stories