London Marathon 2015

April 24 2015 1:21pm     0 289

Photo Credit:BBC Sports   Tingua risto

London Marathon 2015 ni event imengojewa sana hii mwaka. Juu tukicheki runners wamekuwa na time mwenda sana wakitriain juu ya hii day. Event yenyewe itakick Ndeisa date 26th April 2015, na champee wa world Paula Radcliffe anadaisha yuko ngangari kushinda tena kwa mara ya nne.

Already yukona titles tatu, msee muinengi pia mwenye anadai kuretain title ni Edna Kiplagat. Kwa race ya majama itawakilishwa na defending champion Wilson Kipsang aki aim hat-trick ya hiyo title. Alafu pia itawakilishwa na world record mnira; Denis Kimetto.

Event ya round thisis itakuwa kimoja na IPC World Champioship, hii ni majama na madranya kurace kwenye wheelchair. Na watakuwa wanawakilishwa na David Weir akiwa champe na ameshinda race mara sita.

Related Stories