Matiba kudaisha gava ; 12B

April 27 2015 12:11pm     0 331

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kenneth Matiba amekuwa akisuffer maugonjwa kibao na ameshinda akiingizwa hosi kila time, isijulikane atakuwa poa lini. Hasapo bafo alikuwa campaigner wa multi-parties za hasapa 254, na aliweza kukapitia ikiwa regie ya Nyarges.

Alicheki detention na torture kuruka na sahii anadaisha sh12billion kama compensation kutoka kwa gava. Enyewe zaidi ya health yake kukuwa ya uduu, bizna zake pia zimesuffer na famo yake imekuwa ninda ya madeni kibao.

Matiba sahii anadaisha kuskika tu na kuweza kutetea wale wote kama yeseye, wenye walikapitia na kunyimwa freedom na rights zao juu ya kubonga publicly. Ni msee wa vungu sana kama amemanage kusurvive hadi hii time.

Bado anaamini alihata kukuwa orezo in 1992 juu ya Nyarges.

Related Stories