Holiday ya manywele?

April 27 2015 12:35pm     0 505

Photo Credit:Google   Tingua risto

Inakaa wadhii husaka reasons za kucelebrate bana. Sasa eti kunakuanga na National Hairstyle Appreciation Day, kila mvua on 30th April. Hisihi ndio siku ya kufurahia nywele tofauti ziko yadi na pia hairstylists (saloonist/kinyozi) wale huzimake.

Ikuwe nywele ndefu, fupi, cloured, ya miro, mlami, ama pandre, ata zile imbo. Kuna venye ziufanya tunafeel fiti. Nywele inaweza kumake ama kubreak confidence ya msee. Na ndio maana ni muhimu hivyo sana. Pia hujenga parasha za kusambaza kuhusu wadhii. Sana sana wakiwa ni maceleb.

Alafu nao hairstylists hukapiatia wakikazana kuchange looks za msee ndio akae beteta akitoka pale salon ama kinyozi. Enyewe ata ukishaosha nywele kuna vile msee hufeel ni kama ametka therapy session, stress hukatika. Sa hii day inaweza kuwa fiti sana ya kusema thanx. 

Related Stories