Okoa Rhino bana!

April 27 2015 1:02pm     0 805

Photo Credit:Google   Tingua risto

Weka circle ya red on date May 1st, ndio ukumbe ni siku ya kuenda kusave Rhino. Hisihi ni siku ya kucreate awareness na kupatia Rhinos, special attention juu kuna venye zinalost kwa wild. Mapoachers wamezidi na kila day wanaangusha Rhino kadhaa wakidaisha kuwai ivory yenye iko kwa pembe zao, na imekuwa kiblanda.

Tusipochunga soon, tutakuwa tunacheki Rhino kwa mbisha solo juu zitago extinct. Hisihi ndio mnyama mbwaku wa kobole  kwa zote.  Kuna aina kobole different, zikiwa; white rhino, black rhino, greater one-horned rhino, sumairan rhino na javan rhino.

Kwa hizo zote, already black rhino ilikuwa declared extinct in 2011. Sahii kuna rhino thao tatu pekee, na tunawedo waks poa kuzisave zisilost pia kiufala. 

 

Related Stories