Labour Day iko paha tena!

April 27 2015 1:14pm     0 420

Photo Credit:Google   Tingua risto

Mwaka inengi imeingia na hustle inazidi, venye kilio ya employee inakuwa louder. May 1st inatambulika kama  Labour Day ikiwa inafaa kukuwa holiday ya kucelebrate waks na wenye wanaifanya.

Ili muja baada wadhii wa labour union movements kutetea workers ndio waweze kupata siku watacelebrate economic na social achievements zao. Lakini kuna venye hisihi siku ilibadilika kiasi na imetumika kufeature political agendas, wafanyikazi wakisahaulika.

Kuzidisha hasapa 254 wadhii bado wamelazimika kukwachu waks zikona mshande pienga na bado tax iko juu njaro inabaki hanaku mkwanja ya kutosha kulipia ata basic needs. Tunangoja sana kuona kama kutakuwa na changes raundi this. Labda tutaonekaniwa.

Related Stories