waks ya kushukishia…

April 29 2015 4:44pm     0 349

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kuna wera lakini manze kunazo za kushukishia kuruka.  Inasemekana hanaku waks ngumu kama kujaribu kuget sperms za ndovu.  Na enyewe hapo ndio hatari iko. Sijui itakuwa ni mkwanja ngapi itanikubalisha kukubali hiyo waks roho safi?

Sa ndio kuavoid compe na clashes fyam kati ya dume mbexes za elephant, kuna venye wadhii huenda pale kucollect spambo manually alafu kuwai female elephant baaden bila vurugu.lakini pale kwa kucollect, inahitaji experience na vungu za ugali kadhaa.

Kunayo videsa ya kushow hiyo process, lakini kama ukona roho nyepesi tafadhali usishugulike kutingua ati kucheki.

 

Related Stories