Big up kwa wamatha wamiro…

April 30 2015 9:10am     0 734

Photo Credit:Google   Tingua risto

Wengi wetu tukiwa waniaju hatukuwa tunaelewa kwanini mkanya alikuwa anatukazia maisha na ilikuwa ni ngori kupatikana ukiwa kwa noma yoyote. Kuna venye ata ukishagrow baado kuna chances za kugwaya reaction yake kwa risto nifla.

Sa kuna mkanya mjamo kutoka Oteto, mwenye amekuwa akitrend kwa social media juu ya kuvunja son wake wa miaka kinde na six, lembe ya wasee na telly, juu ya kufanya ufala. Kulikuwa na ngori husuko Baltimore, yenye ilihappen baada ya mazishi yam see alitambulika kama Freddie Gray.

Wadhii walianza protest yenye ilirudi ikaturn violent na kukuwa riots kati ya raiya na makarao. Ilidaishwa makarao walimada huyo Freddie Gray alafu hiyo risto ikaenda chini ya waba juu haikufwatiliwa.

Sa husuyu teenie alibebeka na kutamani kuzua zogo, eti hadi akang’ara cladi ya kininja, akidhani mathake ama wadhii wengine hawatamba. Kumbe masake akicheki telly akiwa mtaani aliweza kumspot. Na hakuwaste time, alitoka kejani na kufika pale mniaju alikuwa anarushiana madimanga, alafu akaanza kumvunja akimuuliza anado nini hapo.

Manz alimzushia njaro ata makarao wangetaka kumbamba ingekuwa ni kama rescue mission. Sa wasee walicheki hiyo clip wamebambika kuruka, wakidaisha husuyo mkanya alido poa sana kuingiza mniaju wake baridi.

Related Stories