Harufu za waliogenya…

April 30 2015 1:45pm     0 1094

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kama ushawai kuwa na msee unapenda alafu akagenya, iza sana. Lakini kuna hopes za kucelebrate na kufeel ni kama huyo mudhii bado ako area. Ukiwa interested hii risto basi itakunice.

Kuna venye mthama mjamo kutoka France ametambua njaro anaweza fanya harufu ya msee ameshagenya, kubaki na kutumika na wenye wanampenda. Akiwa anajiita Katia Apalategui, alishikana na researchers kutoka University of Le Havre, ndio wadevelop technique ya kuweka scent ya msee  kwa boti kama perfume.

Hisihi njaro bado inaweza kutumika kusaidia partners ama waniaju wako separated na mapero for period ndefu. Kumbe ukinusa hiyo perfume utaweza kuwai emotions za vungu sana kuhusu ule msee unahata. Perfume yenyewe inakindwa thao hamsa na nnei pekee. 

Related Stories