Mbuus anadaisha kumengo Mayweather
May 21 2015 10:01am
0
544
Photo Credit:ESPN Tingua risto
Pakiwa na press ya movie nira ‘’Entourage’’ kuna mbuus nifla anajiita Ronda Rousey anafaa kumengo kwa hisihi movie.
Akabaki ameulizwa kama ata mengo Floyd Mayweather? Akadaisha sio eti hawezi mengo msee wowote anaweza. But badala ya kufight na yeseye ni heri wadate tu.
Juu hanaku venye wanaweza mengo na Floyd na yeseye ni mbuus.