Wanyama aka scoop award inengi

May 21 2015 11:29am     0 589

Photo Credit:Goal.com   Tingua risto

Capi wa Kenya National team Harambee Stars Victor Wanyama, on weno 20th May 2015 magizani, aliweza manage kuget kukuwa honoured na award inengi.

Hisihi ni award ya seko sasa anagwara, ya fao ilikuwa Player of the month award, and then hii ya seko ni Presidential Choice Award kwa ceremony ya last hii season akiwa Southampton. Wanyama alikuwa honoured na hii award juu ya performance yake this season.

Player wa Southampton mwenye alimochoka na awards mwenda alikuwa Skipper Jose Fonte, na alipenya na Fans Player na Player Player award ya hii season. Fonte anafollow footsteps za former capi  Allan Lallana mwenye aliwai shinda awards zote mbee time ya 2013/14 season. Na amekuwa na 44 appearances tangu kujoin Southampton.

Orezo wao alikuwa husuko akihand over hisiyo award kwake Wanyama, na alim congratulate sana juu alimake contribution sodi sana tangu kujoin Southampton kutoka Celtic FC. Alafu pamekuwa na fununu zinaendela ikisemekana kuna venye Arsenal FC ilikuwa inamdaisha. So bado hatuko sure kama ni real ama ni katava.

Related Stories