Sola kumada raiya wa India

May 27 2015 4:13pm     0 333

Photo Credit:Google   Tingua risto

Manze laso ya this round imeamulia raiya wa India. Inadaishwa kumekuwa na heat wave jamo mwenda njaro imemada wasee ngiri jamo na soh. Hisihi ikifanyika niche ya wiki bana.

Wengi ya mapandhre wale wamekaukata ni wenye wako waks za construction, wazae na raiya homeless. Sana sana kwa sababu hawana access to air conditioning. Inabaki wanakuwa dehydrated na wanawai heat stroke yenye hufanya wanagenya.

Enyewe temperatures zikiwa zinafika hadi 122°F, inadaishwa hadi parts za mabaro zinamelt na inabidi gava kuomba wasee wabaki mtaani na kunywaku waba kibao kuruka. Kama tu wanaweza kutumia hii situation kuimprove technology ya kuprovide masti na kuwai solar power, inaweza kukuwa fiti sana. 

Related Stories