Ulovito ikivuka border…

May 27 2015 4:36pm     0 395

Photo Credit:Google   Tingua risto

Ukishakenga riba ya huyu msus labda utadaisha amefyatuka lakini kwake anatambua eti chenye  anado ni ulovito tupu. Nathan Riely ni mjamaa akona miaka salasa pia ni chali ya Xena mwenye akona miaka mbaula na jamo.

Hisihi couple ilishangaza raiya wa New York baada ya kuenda kwa Mall, chali akiwaanatembeza manzi wa kwake kama wagido. Yaani mbuus alikuwa amevalishwa leash na akimbetea kwa magoti kama dogi.

Juu wako engaged, wanadaisha kuduu hisihi ‘puppy play’ ni romantic kuliko kuwai mbete ya engagement. Kuzidisha, Xena alishare kwa FB akishow place yenye yeseye hudoze, ikiwa cage jamo pienga na mambisha zinengi akiwa na hiyo leash kwa shingo yake.

Xena anadaisha hana noma kucheza gemes za wadido na amekuwa akitaka hiyo maisha tangu akiwa na miaka kinde na tatu. Sahii juu amewai fiancé anamuelewa amebambika yake yote. 

Related Stories