Blatter kuwa questioned na makarao wa Swiss

May 28 2015 10:49am     0 400

Photo Credit:The Independent   Tingua risto

Orezo wa FIFA Sepp Blatter inaonekana atakuwa questioned na makarao wa Swiss kulingana na investigation za 2018 na 2022 bidding process za World Cup. Steto imesha indicate officials tisa wa governing body ya futa FIFA, na hizi ndizo latest updates.

  • Officials walidandiwa na corruption investigation
  • Ngori yenye ilikuwa launcehed na bidding ya 2018 na 2022 World Cup
  • Candidate Orezo wa FIFA anadaisha ni siku ya uzuni sana
  • Department of Justice ya Oteto ina indicate Vice Orezo wa FIFA Jeffery Webbs yuko pia kwenye mix
  • Officials wa Steto wanadaisha hawajamalizana na Sepp Blatter but election ziendele tuvenye zilikuwa zimepangiwa on Friday
  • Blatter mwenyewe yuko relaxed day wasee walikuwa wanabambwa ni kama yeseye hayuko kwa mix
  • Allegations zenyewe zina include fraud, money laundering, bribe, kick-backs zenye zina worth dolare mita soh jamo.

AP inadaisha already warrant ya arrest isha geiyanwa husuko Trinidad and Tobago kwake former FIFA orezo Jack Warner juu ya request ya steto authorities, arttorney general na nation ya twin island ya Caribbean.

Related Stories