Puruka na tenga mbekses

October 19 2012 12:31am     0 581

Photo Credit:FastJet.com   Tingua risto

Kuna isihi airline nira iko set ku muja 254 soon.
FastJet ni kampu nifla kutoka mayolos yenye udeal na cheap (bargain) flights design watakuwa wana ndonyo ma tiko kidu tenga mbekses ama less.
FastJet waliboti Fly540 ya Kenya na Tz but so far wame wahi licence ya kuanza biz huko Tz kwanza waki ji ngapa kumuja 254

Related Stories