Ngori ninda ya NACADA

June 30 2015 9:17am     0 433

Photo Credit:Google   Tingua risto

Almost miezi tatu baada ya msanii Charles Njagua Kanyi a.k.a Jaguar, kuchorwa waks kama member wa board ninda ya National Authority for Campaign against Alcohol and Drugs Abuse(NACADA), ameamua kuresign.

Appointment yake na Orezo Uhunye, ilikuwa surprise kwa raiya wa 254 na kulikuwa na reaction kibao, wadhii wengi wakizusha juu ya choice yake.  Usisahau hisihi position hukwachuliwa na tumzae, wenye wamekwamilia hapo na wakona njaro zao za kufanya mambo. Kwa hivyo kuaccept change inakuanga hard kuruka.

Jaguar anadai reason yake yakutaka kujichuja kutoka NACADA, ni juu kuna corruption ninda ya hisiyo board. Sa hataki kukuwa part of hiyo rende yenye inagosa raiya wa 254 akiwa anacheki tu.  Anazidi kudaisha anataka gava kuingilia kati na kuget hao wasee wako involved na fraud ya ganji ikifikia Sh99 million. Kenga press briefing ya kwake akibonga kuhusu resignation yake.  

Related Stories