Nguna alibreak record hasapa 254

June 30 2015 10:16am     0 607

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kuna njaro mob za kutambulika kama msee mjamo mfyam kwa maisha lakini nguna mjamo anatambulika kama Laura Akunga Muriithi aliweza kuweka mark ya kipekee bana. Tangu ndiwike, kumekuwa na mbisha zinasambaa kwa social media, zikishow venye aliweza kuwai hubby wa kwake ndae iko worth mita kinde for birthday ya kwake.

Ndae yenyewe ilikuwa aina ya Toyota Landcruiser VX V8 na alikuwa anawai hubby, Mark Mwenje,  kama prezo ya birthday yake akifika miaka salasa.  Enyewe ilikuwa ni njaro best ya kushow ulovito na pia venye kuspoil mtu wa kwake, hadi mjamaa alibaki tu kwa mshangao. Lakini raiya wa 254 ndio walipiga na butwa zaidi, hadi wakaanza kulinganisha zile prezo washawahi get za birthday na hisihi ya Mark Mwenje.

Kwa wale bado wanashangaa huyu mbuus ni nani? Ametokelezea kwa list ya manguna wenye wako top 40 under 40, akidaisha success yake ilianza miaka nane bafo na bizna pienga ikiwa Benchmark Solutions.hisihi kampu huduu corporate branding and marketing services both hasapa 254 na majuu.  

Kumbe amekuwa namkono ya biz tangu akiwa na miaka kinde na mbexes, juu anadaisha budake alikuwa na shake na ng’ombe zenye baada ya kuget maziwa Laura ndio alishughulika kuenda kusaka mako ya kukinda hiyo maziwa. Alikuwa chop chuo na ata baada ya budake kugenya alikuwa na syke ya kupenya kwa biz.

Kampu yake imeweza kuserve kampu zinengi  zikifikia rwabe na jamo, kati yazo kama; Technoserve, Deloitte,Pan-Africa Life, SMEP, Pacis Insuarance Company, Shama Academy, UNFPA, USAID, UNDP, na Urgent Cargo Handling Limited.  Ilikuwa hard kukwama kwa hii position especially juu ni mbuus lakini alikapitia na kulearn from hizo challenges alafu akathrive. Sahii alikuwa anataka tu kushow hubby wake wa mwaka jamo tangu kumarika venye ako appreciated. Wasee wote wanafaa kujichocha na hii riba bana.

 

Related Stories