Maisha ikikuwai ndizi unaenda chizi…

June 30 2015 5:54pm     0 273

Photo Credit:Google   Tingua risto

Elsa Harris ni single masa mwenye alipata kwa ngori na vedi juu ya kudema ndizi akiwa kwa ndae yake. Ukidhani makarao wa hasapa 254 hukuwa na ufala ya kuharibia msee siku, fikiria tena. Hisihi ni riba ya mthama wa miaka arbesa na ngovo kutoka Oteto.

Akiwa anaenda waks, aliingia baro iko Christchurch, Dorset yenye na traffic jam jamo mwenda ajaabu. Ndae zilikuwa bumper to bumper hadi ilibidi madere wamezima engine. Kucheki hivyo, Elsa alimochoa ndizi aweze kumanga. Lakini akiwa anaitoa ngozi, akapatikana na vedi mwenye alichapilia tiko ya kumfine dolare soh jamo, yaani zaidi ya thao tisa.

Husuyo karao alidaisha eti Elsa alikuwa anagonya kama mikono haziko kwa steer wheel. Yaani ata hakutaka kuconsider that mandae hazikuwa zinasonga bana. Hadi Elsa anadaisha hisihi ndio ndizi expe ashawai kudema kwa maisha yake.

Unacheki kama anafaa kulipia hiyo fine ama aendelee kuilenga?

Related Stories