Team ya Steto ikapenya hadi fainali

July 1 2015 8:48am     0 317

Photo Credit:Tom Liddy   Tingua risto

On Tuesday date salasa palikuwa na semi-finals za World Cup ya futa ya madem. Team ya Steto ilikuwa inagusa na team ya Germany, na tunacheki Steto ndio iliweza penya baada ya kushinda Germany dude mbili mtungi husuko Montreal, Canada.                                  

Carli Llyod alitingua na kutinga dude ya fao kwa dakika ya 69th,  baada ya kuwa fouled ndani ya 18 na kugeiwa pena. And then dude ya seko ikatokea kwa dakika ya 84th baada ya Kelley O'Hara kuget krosi tamu kutoka kwake Carli Llyod na kuweza tia ndani bila was.

Steto imemanage kufika finals after kukung’uta Colombia kwa round of 16 na dude mbili mtungi, alafu quarters ikaweza shinda China na dude janamo. Sasa Steto inajitayarisha kupatana na either defending champions Japan ama England kwa finals zenye zitaguswa date kobole July, ikiwa on Sunday.

Related Stories