mdomo bwaku ajaabu!

July 1 2015 11:20am     0 466

Photo Credit:Google   Tingua risto

Odijo wa Science kutoka husuko India akona talents za kando zenye yeseye huchase baada ya daro. Inadaishwa anahold world records arbesa na nane akiwa solo, za kustuff vitu kwa mdomo ya kwake. Hisihi imefanya akapewa nickname kama Maximouth.

Dinesh Upandhyaya, anaweza sunda pencil 92, 79 grapes, candles kinde na mbexes ama na golf balls kobole kwa mdomo, zote zikiwa separate records.

Anadaisha akona dream ya kuweza kuongeza mbanaya vitu anaweza sunda ninda ya mdomo yake, ndio abaki kama champee wa mdomo bwaku kwa dunia. Kumbe siri ni kushinda akipractice, ambapo yeseye hurudia process ya kustuff vitu dakika kama kinde kila siku, hadi cheeks zinakuwa rubber-like.

Eneyewe hisihi skill ni ya wachache na inataka msee akona passion ya kuduu hizi mamboz. Ndio aweze kuenhance capacity ya kile mdomo itashikilia, anafanyaga yoga na breathing exercises, pia akimassage facial muscles akistretch mdomo na vidole. Amekuwakuwa akiduu hivi kwa miezi nnei kabla kuanza compe yenyewe.  Unatambua msee anaweza kumchallenge?

Related Stories