Raiya wa 254 akamadwa na hubby

July 2 2015 10:51am     0 527

Photo Credit:Google   Tingua risto

Nguna  wa miaka mbaula na four, anatambulika kama Maureen Wanjiku Gathua, alimadwa pamoja na mniaju wake wa miezi sita husuko Califonia,on 22nd June.

Makarao wa fountain Valley Anaheim California, wameconfirm husuyu raiya wa 254, alikuwa amemarika kwake Kwame Carpenter. Na wakiwa wanarespond 911 call ya domestic disturbance, waliget kama huzii amestab both wifey na mtoi marakadhaa hadi wakagenya.

Carpenter alirudi kubambwa baaden, juu alikuwa amehepa, njaro ilibidi makarao kumchase hadi na wagido. Alikuwa arrested na kufikishwa kwanza hosi juu aliumwa na hiyo dogi. Bado haijulikani rason yake kumada famo juu kila msee anadaisha ni mjamaa mpoa sana.  

Tunangoja kucheki venye kutaenda.

Related Stories