Chuo inashughulikia mastiude

July 3 2015 11:21am     0 539

Photo Credit:Google   Tingua risto

Husuko Nax kuna chuo ya seko inatambulika kama Kampi ya Moto, yenye imekuwa ya fao kuanzisha training za survival skills za kuface terror threats. Kulingana na venye kumekuwa na terrorism kibao hasapa 254, enyewe ni heri kukuwa prepared mapema kuliko kujipata kwa ngori tena.

Zamo machuo zilikuwa ndio safest hadi kungekuwa na noma mtaani, ingekuwa trusted kuprovide refuge. Ungepata kambi imewekwa hasapo kusaidiana. Lakini sahii mauru wanaweza toka place yoyote na kuingia kwa chuo na kufanya venye wanajiskia.

Safety measures zimekuwa zikifwatiliwa kama kuweka fence na kuduu inspections daily  lakini haitoshi. Hisihi chuo ya Nax imeecollabo na majamaa wameretire kutoka arme, kufundisha mastiude venye kuhepa ama kusurvive kukatokelezea ngori.

Ikiwa ni chuo mixed na mastiude soh tatu na seventy, walitoka daro na kuenda njei na kung’ang’ana kupanda obstacles, wakicrawl nichi ya bunkers, kuhepa wakihatisha dodge poles zimewekwa zigzag, na kuruka ukuta iko 3metres high.

Inadaishwa hii zoezi ni ya kuwagei skills za kupiga tizi ya kawa na interpersonal communication. Kumaanisha watakuwa mentally alert na wanaweza help wadhii wengine pia juu wanaget kuelewa responsibility. Unaweza daisha waniaju wako wakule hii zoezi?

Related Stories