Blanda ya Majina

July 3 2015 12:37pm     0 1253

Photo Credit:Screen Rant   Tingua risto

Ka wewe ni fan wa movies, na sana sana Sci-Fi movies basi kuna vile unatambua vile hii riba ni ya kuchekesha. Kuna msupa nifla anajiita Sarah O'connor mwenye ametoka huko side za London. Waks yake kawaida ni kushow riba za Financial Times na vitu za investment ama mkwanja.

Sasa kulikua na hii accident nifla yenye ilifanyika huko Germany, kwa mtaa jamo inajiita Kassel yenye ilikua kwa site yao na akaamua kusambazia wasee kutumia Twitter account yake. Aksi yenyewe ilikua vile msee mjamo aliuma pamba after robot nifla kummada ka anaiunda. Alikua anafanya waks kwa kampu ya mandae, Volkswagen na ka anafanya repairs kwa robot nifla, ilimfinyilia kwa ukuta ka imemshikilia kifua, akamanyuria akiwa hosi. Cheki riba yenyewe hasapa.

Ka unatambua movie ya Terminator na synopsis yake, kuna vile kuona tweet ka hii inakua ni funny sana na wasee wengi hawakuichukulia serious. Kwa movie yenyewe, Sarah O'Connor ni mdhama nifla mwenye anakimbizwa na robot zimetoka in the future, zikijaribu kummada juu mniaju wake, John O'Connor, akishakua msodi, anazilemea sana. Kwa hio future, kuna kampu jamo inajiita "Skynet" yenye wamekua wakido risto za robotics lakini siku moja, hizo robots zinaamua kumada wadhii wote na wale wanabaki wanatumika ka slaves. Lakini kwa hao raiya wamebaki, mmoja wao ni John O'Connor na yeye ni leader wa "The Rebels", wasee wameamua hawatakua slaves.

Sema msupa kuteremkiwa na wasee, wengine wakidaisha kamenunga juu Machine sasa zimeamka.

Related Stories