Holiday bwaku Oteto!

July 3 2015 12:38pm     0 262

Photo Credit:Google   Tingua risto

Tarehe July 4th, inatambulika kama Independence Day ya Oteto, hisihi ikiwa; a federal holiday. Kumaanisha wanajikumbusha kuhusu adoption ya Declaration of Independence yenye ilihappen July 4, 1776, tarehe Oteto walikuwa formally separated from Great Britain.

Hisihi inakuanga siku ya raiya wa USA kucelebrate histo, gava na traditions zao. Sa wanafanyanga bash mwenda kukiwa na; fireworks, parades, barbecues, carnivals, fairs, picnics, concerts, family reunions, political speeches na ceremonies.

Mabiz hadi offe za gava hutingwa hii day lakini juu ya this round itaangukia sato, wanadaisha watatinga kutoka Friday, ndio raiya wakuwe na ndwike ndefu ya kujinice.

Risto za security zimewekwa in check kwasababu hanaku msee anataka kubaki manyu na bash zenye huendelea eti juu ya kugwaya terror attacks. 

Related Stories