Mambuus kukoseshewa raha…

July 6 2015 10:11am     0 487

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kila mwezi bila kuhata, lazima madem wapiti process nifla tunatambua kama menstruating. Hisihi process imebandikwa majina kibao, zote zikiwa na njaro ya kudiss. Labda ni juu zinafanyanga mambuus kufyatuka coz hormones zimekuwa imbalanced.

Area mob magava zimefanya ufala ya kutax sanitary pads na tampons vimajor njaro inakuwa hard na expe kwa madem kuaccess hizi mahitaji zao. Lakini yadi ya Australia ndio wamewezwa kuruka.

Manguna wa husuko wanadaisha wanakuwa charged an extra 10% tax na gava kuboti tampons. Kumaanisha gava huingiza dolare mita mbao na kobole kila mvua. Alafu reason yao ikiwa eti juu haziwezi kukuwa classified kama ‘health goods’. Riba ya kukatsia even more, products kama kondiecha, lubricants, nicotine patches na sunscreen, hazikui taxed.

Sa kuna stiude alianzisha campaign inadai ‘’ stop taxing my period’. Anadaisha wadhii wasign petition ya kuchuja hiyo law yenye iko sexist kuruka.

Related Stories