Festival ya Lungula kwenye mazone…

July 6 2015 1:19pm     0 511

Photo Credit:Google   Tingua risto

Manze walami watamuja kutushow maajab kuruka. This round walishangaza hadi raiya wa ocha ya husuko UK, baada ya kuhold Festival ya Lungula hizo mayadi. Area yenyewe inatambulika kama  Flaxey, Gloucestershire.

Inadaishwa wadhii soh kobole walifika kwa hisihi ‘Swingfields 2015’ kujibamba kwa event yenye hukuwa kwa the swinging calendar.  Inadaishwa imekuwa tangu July 2013 na hufanyika kila mvua. Hisihi sex party hukubalisha wadhii wamemarika kushare spouses na wadhii wengine bora wameskizana.

Wadhii walifika kwenye mandai, camping vans na wakapangisha tents. Pia kulikuwa na baesa, hot tubs, sauna, chill pool na stalls zinakinda adult toys. Kumbe tiko zilikuwa zinakindwa lakini location ya festival ikiwa siri. Ata raiya wa hiyo ocha hawakujua kuna rende inamuja kuangusha bash kwa area yao.

Walikatsika venye kulikuwa na ngoma loud, na vile wakienda kuzushia organizers ndio wakakenga chenye ilikuwa inaendelea. Bado wanazusha kuhusu hiyo festival na wanadai makarao walidinda kuwasaidia. Itakuwaje hisihi ni hali ya maisha?

Related Stories