Niaje wasee?

July 25 2015 11:03am     1 1093

Photo Credit:Ray Cornelius   Tingua risto

Hii weekend kuanzia Friday 24th July imekua moja ya aajab kwa 254. Sio tu juu wasee walikua waks half day on a Friday but hii ni juu Orezo wa Oteto alikua analand mtaani. Orezo Barrack Obama, mwenye ni orezo wa fao ever kukam hasapa Kenya akiwa bado in office, aliingia hasapa Kenya idhaa ya usiku na alipatana na Uhunye kwa airport vile tu alilandi. Hii ni juu alikua anakam kuattend Global Entrepreneurship Summit ya sita, ama ukipenda, GES 2015. Hii ilikua inaanza Sato, yaani leo.

Kitu ya aajab ni vile Obama amegotea wase vile amepewa chance ya kubonga na wasee...amedaisha, "Niaje Wasee?" Kuskia orezo wa Oteto akibonga Sheng ni kitu ya aajab, roots zake kua hapa notwithstanding, hii ni kushow anatambua majority ya wasee wa hasapa mtaani ni wasee wanabonga na kung'am Sheng. Yaani hio ndio lugha ya mtaani, na ka angekua amegrow hasapa, kuna vile hio ndio ingekua mothertongue ya kwake.

Hii summit ni ya kuchanua wasee kuhusu njaro za kusaka mkwanja, kuanua biz za nguvu, sana sana among mavijana ndio wote wasimalo chuo wakisaka waks kwa maoffe. Tunangoja kuona words gani za kutusaidia zitatoka kwa hii Summit juu iko na raiya wengi sana wenye wako na advice za kusaka mapeni kutoka country kibao around the world.

Hopefully by the time Obama anaishia, atakua amekwachu words zingine kadhaa za Sheng! Unaona ni words gani anaweza kua akibeba akiishia White House? Yebi videsa yenyewe hasapa

Related Stories