Njaro ya kuita rain!

July 27 2015 12:35pm     0 334

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kumekuwa na wadhii bado swanaishi kwa enzi za zamo za kuamini lazima watumie voodoo kuget chenye wanadaisha kimaisha. Blanda ni vile waniaju na raiya wamesota ama disabled ndio hukuwa victims wa hizo rituals zao. Kuna vitu kadhaa hufanya wadhii kufwata hii njia.

Kwa mfano, husuko india venye kulikuwa na heatwave jamo mwenda, yenye ilirudi kumada raiya zaidi ya thao mbexes na soh tano, mudhii alitambulika kama Thepa Kharia alikuwa sacrificed ndio rain imuje kusave wadhii.  Manze alipatikana kama mwili yake imekuwa mutilated na kuwachwa amegenya kwa pool ya damu yake.

Wengine hutumia hizi njaro za kinyama, ni raiya wa Nigeria. Reason zao zikiwa kati kuomoka mbio na kuwai prolonged sexual pleasures. Inadaishwa hadi husuko Bangladesh kuna human sacrifices hufanywa kama fertility ritual ya both wasee na mimea.

Nao raiya wa Mexico huamini wakimada wasee watawai protection kutokana na authorities matime wanasmuggle madre kwa border ya Steto.  Hasapa East Africa, tukona raiya wa TZ wenye wanahunt albinos wakiamini kumekisha potents na viungo zao italeta wealth na health fiti.

Imekuwa ngori kweli kwa famo na mabeshte juu msee wowote anaweza kugeukia na kumadana, wakiwa wanaamini watajisaidia. Sijui msee unafaa kujificha wapi sasa?

Related Stories