First ilikuwa mkanya, sa pia mniaju amekacha….

July 27 2015 3:58pm     0 284

Photo Credit:Google   Tingua risto

Manze kama kuna famo hudaisha kukuwa cursed ni hisihi ya Browns. Inadaishwa Bobbi Kristina Brown aliuma pamba magizani za Ndeisa 26th July, akiwa na miaka mbao na mbexes. Mapero wote walikuwa wasanii wafyam enzi zao lakini wamekuwa wakichase magowe maisha yao yote. Inakaa mniaju pia alifwata kwa hiyo lifestyle.

Alikuwa mniaju solo wa; Mkanya akiwa pop legend Whitney Houston mwenye aligenya baada ya complications za madre, na bazenga wakwake akiwa msanii Bobby Brown, mwenye anadaishwa kuintroduce wife wake kwa hizo tap tap zenye zilimdedisha.

Ata hivyo budake aliendeleza life na famo tofauti na imekuwa bland asana kutambua eti mniaju amekacha the same way na masake bana, mwenye aliukata on Feb 11th 2012. Inadaishwa alikuwa discovered akiwa face down na unresponsive kwa bathtub mtaani husuko Atlanta Georgia, on January 31st.

Aliweza kufikishwa hosi lakini akawa brain dead na amekuwa in a coma tangu then. Inakaa hisihi aksi ilifanyika baada ya drug overdose. Sa famo iliamua kumwachilia jana ndio aweze kudoze peacefully.

Related Stories