Bizna baada ya kampo…

July 27 2015 4:28pm     0 249

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kwa wale wanaboeka na kusaka waks ama kuduu janta haiwabambi, mnaweza chop kutoka kwa example ya Hilda Moraa. Nguna kutoka hasapa 254, mwenye akona bizna yake alianzisha na mabeste baada ya kumada kampo.

Yeseye ni mjamo ya founding partners wa Weza Tele limited, yenye inadaishwa kukuwa worth 154 million. Hisihi ikiwa kampu ya kuongeza value kwa mobility solutions kwa commerce, supply chain, distribution na mobile payment intergration.

Hilda aligraduate na Bachelor’s Degree in Business Information Technology kutoka Strathmore University na inadadaishwa ashachora research papers kadhaa kuhusu ICT, Development na Entrepreneurship.

Alikuwa among wale mayut waliaddress Orezo wa Steto Barrack Obama na wa hasapa 254 Uhuru Kenyatta kwa GES Summit, kuhusu success na failure za bizna. Akiwa na miaka mbao na six, ni mbuus ameweza kupenya vimajor kuruka.

Related Stories