Kuhusu mtasis wa POTUS

July 28 2015 4:19pm     0 636

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kwa mara ya fao ever, 254 iliweza kujipride kutembelewa na Orezo wa Oteto. Alafu kuchangamsha ata zaidi ni venye yeseye ni murio juu akona famo husuku Kenya.

Tulicheki Prezo Barrack Obama akipokewa na members wa famo lakini msee alifurahia vimost kwa wote, ilikuwa mtasis wa kwake, Auma Obama. Hadi aliweza kukuwa Mkenya wa fao kuride na Orezo wa World Super Power kwa ndae yake famous inatambulika kama ‘Beast’.

Kumbe Auma akona riba yake tofauti sana ya venye alimake it. Alafu pia na blanda za kukuwa mbuus njaro ilibidi amehepa mtaani ndio aweze kuchop. Alienda Germany, place alikuwa na issues za identity kama mbuus mmiro na kuhusu kule ametoka.

Hadi  alichora mbuku ikona title; ‘And Life Happens’ yenye ilikuwa published in Germany kabla kuwai translation ya kilami. Aliwai PHD baada ya kuchop language, literature, communication na film making. Alimaha na kuenda London kwenye aliishi na hubby wa kwake Ian Manners. Lakini walirudi kuget divorce na kurudi home.

Miaka kinde na jamo aliweza kusaidia mayut husuko London, wenye walikuwa wametoka mayadi zimesota na venye alirudi 254 alianzisha NGO ya kuendeleza hiyo waks. Hisihi ikiwa Internation Humanitarian Agency inaitwa Care International, yenye ilisimama miaka kobole. Sahii akona foundation tofauti inaitwa Sauti Kuu yenye bado inasaidia mayut kutoka slums kuget opportunities zenye wataweza kusucceed  in.   

Related Stories