Kondiecha ninda ya spray can

July 29 2015 11:19pm     0 507

Photo Credit:Google   Tingua risto

Inatambulika kama Girlplay. Hisihi ikiwa ni kondiecha iko ninda ya spray can, ambapo inadaisha kujispray tu kama deodorant. Ikiwa imemekishwa na Designer anaitwa Michele Chu, baada ya kuwai idea kutoka kwa mechanics walikuwa kwa car wash nifla.

Mara ya fao kumekisha hisihi liquid latex, kulikuwa na setback kiasi baada ya kugundua ingebidi msee alikuwa na taki kungoja dakika tatu kabla iweze kukauka ndio aanze game ya lungula.

Sahii design ya product ni mwenda na inaweza muja na ‘lover’s kit’ ikiwa na smart bra yenye ikona remote control. Kumaanisha mambuus waweza bold & daring ikifika kusaka raha za bedroom.

Atleast kupitia hisihi invention, kondiecha zitaacha kukuwa zile square things tu. Alafu pia kutumia protection itakuwa fun na bila hustle. Lakini ile fyam vimost ni kondiecha yenye inaweza detect STD through kuchange colors kulingana na type ya virus ama bacteria.  Manze inaweza saidia kusave maisha za wadhii wengi sana.

Related Stories