Kwaheri Mzee Ojwang

July 30 2015 5:30am     0 442

Photo Credit:Niaje   Tingua risto

After tupate hizi riba sad kuhusu mzito Benson "Mzee Ojwang' Hatari" Wanjau kumanyuria, wasee wengi walijitokeza kusaidia famo yake kwa hii time hard sana. Kabisa ilikua sad ile stste Mzee Ojwang' alikam kumanyuria kwanza vile kuna fununu mob kuhusu vile alikua anapata shida ya kukanja mpaka bills za hosi. Lakini raiya hasapa 254 walijitokeza mara ya pili kushughulikia mangata yake hii wiki imepita na leo Weno 29th July, Mzee Ojwang alipelekwa L.A place atakua anadoze.

Mzee Ojwang alianza waks ya acting tene sana, na amekua kwa hii riba ya acting more than miaka chwani. Mara ya fao kuonekana kwa mbulu ni enzi za 80s na ni kutumia KBC (hio time ilikua inaitwa VOK) ndio yeye pamoja na wesee kadhaa, waliweza kupenya kwa keja za wasee kubamba na kufunza raiya about vitu imbo kwa society. Progi ya Vitimbi walianza 1985 hapo na character yake ilikua ya mzae alikua hajapitia system sana lakini anatry kufanya famo yake ipate vitu poa poa lakini alikua anashuku famo na wasee wake wa janta kwa hoteli alikua amefungua mtaani. Pia character yake ilkua ya mzae kalewa mwenye alikua mkali kwa kila mtu mtaani, ndio akapata jina "Hatari". Kwa message yake kwa famo, Orezo Uhunye alidaisha vile anakumbuka Mzee Ojwang' ka msee wa vungu sana na alikua anashow wadhii vitu wanafaa wasido akitumia comedy.

Kulikua na viewing ya body yake before wasee waishie L.A na hio place ilikua imejaa vinoma. Wasee kutoka mamtaa mob walisare waks zao kukam kushow support kwa famo ya Mzee Ojwang mwenye alimanyuria akiwa na miaka 78. Mzito Sonko na pia Sonko Recue Team walikua at hand kusaidia na kubeba mzae kutoka Mocha, kwa viewing na mpaka pale makaburini L.A. Benso amesare wife na waniaju wawili wasodi.

Message ya lanyo kwa mzito na Father of Comedy hasapa 254, Shukran kwa kutubamba na kutushow life inaweza kua beteta tukido vitu true. Wabe jo

 

Related Stories