Mila zinakatsia madem

July 30 2015 12:32pm     0 640

Photo Credit:Google   Tingua risto

Enyewe kuna vitu hufanyika mayadi kibao, hadi nimeanza kuamini madem hukuwa hawatakiwi bana. Kuna tribe nifla ya mapadhre, wanatambulika kama Apatani tribesmen.

Wakona traditional practices mwenda ajaabu, ambapo ukijipata na homa utakuwa na mashida kuruka. Eti mambuus wao huget nose plugs na tattoos kwa uso ndio aiders wakimuja wasiwagose.

Uradi ni kuwafanya wasikae wasupa enough kukuwa kidnapped. Na enyewe imefanya waks poa sana.hisihi kutobolewa mapua hufanyika dranya akianza tu kunyesha alafu inadaishwa kukuwa rite of passage into adulthood.

Wanakuanga na jamta ya kucheki waniaju na pia kulimia mchele. Hisihi tribe pia hufanya fishing kama njaro ya kuwai mkwanja na keroma. Lakini practices zao zilitiwa zii tangu 1970. Sa utaget mamshodhe wakiwa na hizo nose plugs solo.

Related Stories