Uzae ikamget…

July 30 2015 1:16pm     0 479

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kama unaweza kumbuka progi ya telly ya tenee, ilikuwa inaitwa The Jeffersons, basi unaweza kumbuka staro wa hiyo progi. Sherman Hemsley alikuwa anaact role ya George Jefferson, msee alikuwa shot wire ajaabu. Alafu alikuwa ameanza kuosa kutoka kwa kufanya janta kama janitor na kukuwa donga wa dry cleaner.

Ni miaka tatu tangu yeseye kukaukata. Inadaishwa Sherman aligenya mtaani kwake akiwa na miaka 74. Reason ya kuuma pamba bado haijulikani. Husuyu msanii alitambulika kwa waks yake ya kuduu progi za comedi na aliweza act pia kwa All in the Family na Purlie ( Broadway Debut) naseries ilikuwa inaitwa Amen.

Alikuwa pia na ngoma iliitwa Ain’t That a Kick in the Head ya 1989. Hadi akatolesha R&B album in 1992. Atakumbukwa kama msanii mjamo myam sana. Lakini inadaishwa amegenya bila wifey na watoi.

Related Stories