Maziwa ya Nyarges imeback!

July 30 2015 1:34pm     0 789

Photo Credit:Twitter   Tingua risto

Kama kuna time niliwai penda kuenda chuo, ilikuwa zile days tulikuwa tunawai maziwa ya sare kutoka kwa gava. Lakini ata zikiwa memories za primo, kuna venye ilifanya tupende Orezo wa then akiwa Nyarges.

Inadaishwa hisiyo program imeback na machuo ziko mayadi ya coasto ndio zinafurahiya kurudishwa kwa hii project. Zaidi ya mastiude thao mbao wamekuwa waiget hisihi maziwa ya sare, na county officials wanadaisha imefanya mbana ya school drop outs kudunda.

Ingawa ilianzishwa juu ya mastiude kufaint wakiwa daro juu ya ubao, result yake imekuwa poa sana. Mastiude wameongezeka kwa machuo pia tangu program kuanzishwa. Hadi gava imeseti mita nnei ya kushughulikia hiyo maziwa ya sare solo kwa budget.

Related Stories