Madem kuwai tools za shake!

July 31 2015 1:57pm     0 878

Photo Credit:Google   Tingua risto

Tumezoea kucheki progi za telly zenye zinashoww maisha za waasee ikiwa ndio Reality TV. Kwa hizi shows, risto hukinda mbio ni kuhusu lungula vita na confessions mwenda . Ata hivyo progi ya TZ imeamua kuchange content ya hizi shows na kumalizia ikishow that mambuus wanaweza kukuwa heroes wa mtaa yao pia.

Reason ya kuazisha hiyo show, ilikuwa kuweza promote na kuraise mambuus wenye watakuwa farmers kwa wingi. Ikiwa inatambulika kama Mama Shujaa wa Chakula, itaanza August 1st na washaselect madem kinde na eight. Alafu wataishi kwa keja jamo yenye ikona shake for wiki tatu.

Wakiwa hasapo ninda, wanafaa kukazana kuwai votes kutoka kwa viewers, alafu winner anacheki kushinda mita mbaula  mkwanja ya TZ, pia na farming and fishing tools. Ambapo maisha ya hao mambuus itakuwa transformed vimajor na value yao kama wakulima kupatikana.

Hisihi enyewe ni njaro mwenda pia ya kuchuja poverty kwa mitaa. itawezakusaidia wadhii wengi kuelewa njaro tofauti za farming na kwa wale wataingia kwa hiyo biz wataweza kucreate jobo na kuongezea kwa production ya keroma. 

Related Stories