Album nira finally…

August 3 2015 7:38pm     0 883

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kwa mara fao baada ya miaka kinde na six tutaget kuskiza tena ngoma oriji za HipHop, kutoka kwa Dr.Dre mwenyewe. Mafans wake wanaweza kuelewa reason ya kubambika hivi vyote. Juu kuna venye majina za wasanii nifla zikitajwa tu, hufanya msee kukumbuka vitu mwenda za hizo enzi.

Influence ilimuja kupitia ngoma za hip hop ni mwenda kuruka. Na tutachangamkia kuskiza hisihi album nira yenye ngoma zake zinatumika kwa muvi inaiwaStraight Outta Compton.

Inadaishwa hisihi ni biographical drama yenye inashow risto ya rende ya Hip Hop yenye ilitambulika kama N.W.A. Ninda ya rende yenyewe kulikuwa na wasanii tumemuja kujua poa kwa hii genre kama; Dr.Dre, DJ Yella, Easy-E, Ice Cube na MC Ren.

Kuna parasha itakuwa available hii August, itabidi tumechill tu hadi ifike kwa shoppe. Labda hisihi ndio itakuwa album itafanya 2015 kuisha in style! Manze miaka chwani na bado Dr.Dre anavuma. Kama hisihi sio ligi soh, hanaku inengi bana.

Related Stories