Mastiude wa seko vs Lungula

August 3 2015 8:31pm     0 717

Photo Credit:Google   Tingua risto

Inakaa waniaju wa siku hizi hawatambui riba kuhusu nyau iligenya juu ya curiosity. Wanakaa pia wakona guts zinengi mwenda, kwanza ikimuja kuchase ikuus.

Sa kuna risto ilitokelezea husuko Elgeyo Marakwet County, yenye ilisababisha maboi wannei kuwai injuries mwenda na wengine kinde na mbexes kutupwa neti.  Hisihi ikiwa reward ya kumbetea 6km kuwai ikuus ya sare.

Wakiwa maboyz kutoka St.Patrick’s Iten High, waliweza kuvunja record ya majamaa wakona syke kuruka. Enyewe lazima ikuwe hiyo lungula ilikuwa worth iyo hustle yote. Baada ya kuenda hivyo vyote, walifika destination, ikiwa seko inaitwa Sing’ore Girls. Inadaishwa prinsi hakuwa yadi juu ironically, alikuwa amesafiri kuenda Kanairo kuwai award ya good performance.

Lakini uradi ya hii day iligonga ukuta, juu inadaishwa kuna mambuus walipiga nduru. Machogi walirespond wakidhani ni mathegi na kumbe ilikuwa ni munching inaendelea. Hasapo ndio mbio zilianza, kila msee akijitoa kinyama, asipatikane na kubambwa.

Kwa wale hawakubahatika kuhepa, walibaki wakidaisha sio mara ya fao kuendea  ikuus kwa hiyo chuo. Kwanza eti mambuus ndio huwadungia nangos, wakiwashow wamuje kujinice. Makarao kwa scene waliget pako sita za kondiecha. Hisihi ikiwa aibu na kudunda teo vimajor both kwa machuo na society nzima juu msee anaweza tamani kujua how comes hanaku msee alikuwa rada na hii riba?

Related Stories