Masaibu za kukuwa Supermodel….

August 5 2015 11:31am     0 473

Photo Credit:Google   Tingua risto

Jina Naomi Campbell ni jamo famous sana dunia nzima. Especially kwa mambuus wenye wanatamani kuigia biz ya modeling, watadaisha yeseye ndio role model. Lakini kitu hawatambui, sio rahisi kuishi maisha ya supermodel.

Hisihi ni janta inataka msee anadishi, kunywaku, kudoze na kuishi viperfect. Yaani hanaku kitu unaweza fanya bila kucheki venye itaweza kuaffect mwili yako. Bora body iko sawa, then hautachujwa waks. Kumaanisha ni pressure kibao kwa msee wa kawa.

Kuna venye hisihi maisha imegeuzia husuyu British Supermodel tunatambua kama Naomi Campbell. Inadaishwa yeseye ni short wire kuruka. Njaro kitu pienga sana inaweza fanya akafyatukiwa na kuturn violent.

Sa inadaishwa anacheki sentence ya miezi sita ninda ya neti, baada ya kuscratch photographer mjamo wa Italy in 2009. Hisihi attack ilihappen akiwa vacation na ex- boyfie, Russian Billionaire Vladimir Doronin husuko Sicily.  

Venye huyo photographer anaitwa Gaetano di Giovanni alikuwa anakwachu mbisha zao, alirushiwa mbekiko na mbuus na kuumizwa kwa macho. Inadaishwa alipeleka hii riba kotiko na ata baada ya kuwai ganji ya settlement, inakaa hakutosheka.

Bado kuna riba zinengi zinadaisha Naomi akona temper mbovu. Kama jamo yenye alirushia na kugonga mboch wa kwake na nangos in 2007. Hiyo time aliserve siku ngovo akido community service na kulipia fine na pia kuenda anger managent course.

This round inakaa alivunja ule mzii. Sijui atasurvive aje huko neti, juu ashaoea maisha ya high roller. Manze hana bahati.

 

Related Stories