Mambuus wamedinda kugenya….

August 26 2015 10:38am     0 991

Photo Credit:Google   Tingua risto

Miaka mbau tangu Srebrenica massacre yenye ilihappen husuko Bosnia. Hisihi ikiwa murder ya majamaa wote wenye walikuwa wa Muslim community. Inadaishwa zaidi ya machali thao nane walimadwa hiyo time na ilileta pain kibao kwa raiya wa hiyo place.

Mambuus wa hii area walilostisha mabazenga, mabro, waniaju na mahubby. Tunacheki riba ya survival kulingana na mambuus wane, wenye walilostisha famo zao. Wakiwa bado wanasaka majibu za hizo murders, wanadai watadinda kugenya juu ya sorrow.

Ata kama vile waniaju wao walidedishwa walifeel ni kama wamekaukata, wanazidi kusaka justice ya kulipishia maisha za loved ones. By June 2010 kuna Bosnian Serb Officials walipatikana kukuwa guilty of war crimes husuko UN, na wakakuwa convicted.

Related Stories