Kuhusu karao blind kutoka China…

August 26 2015 11:02am     0 670

Photo Credit:Google   Tingua risto

Pan Yong akiwa na miaka arbesa na three, alilostisha nguvu za sight in 2002 baada ya kuget glaucoma na cataracts. Lakini ata hivyo bado aliendelea na waks yake kama karao, akisaidiwa na wife, Tao Hongying kuduu mapatrols mtaani.

Inadaishwa hiyo mtaa yao, imekuwa crime free miaka kinde sasa. Yaani hawajakuwa na criminal cases ama traffic aksi kwa hizo miaka zote. Raiya hudaisha Pan Yong akona kismet sana ndio maana hakujakuwa na crime kwa hiyo area. Lakini yeseye anadai anapenda janta yake sana.

Wife yake pia anabambika kumsaidia kwa hiyo wera ya karao. Na wamekuwa na trust mwenda kati yao hadi hubby anadaisha anajua akiwa na yeye hajawai gwaya kutegwa ama kudunda kiufala. Waks ya karao inaongeza meaning kwa maisha yake kweli.

Related Stories