Africa: Mtaa ya sola….

August 26 2015 11:38am     0 1264

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kwanini kuna mashida za energy ninda ya yadi kwenye laso imefanya kukuwa mtaa? Juu ya masaibu za kuishi kwa makeja hazina masti, raiya hukapitia, lakini waniaju ndio hukuwa kwa ngori zaidi coz hubidi wamedo homu wakitumia candles.

Kuna venye analysts wanadaisha mambo zitabadilika. Wanaamini solar power ndio itakuwa the next na the largest source of power by 2050. Raiya wa Nauu village, husuko Northern Kenya wanaweza kutestify, enyewe maisha iko bomba tangu solar power kumuja.

Enyewe raiya wa jiji hutake for granted vile wanaweza kuaccess masti bila issues, lakini husuko mashinani wadhii wanaumia. Ata kama hiyo solar energy inalast magidhaa kiasi, atleast hizo famo hukuwa zishaconnect na dunia, kupitia telly ama nangos, alafu watoi wanakuwa wamechop vipoa bila stress.

Across Africa, hisihi tu ndio itaweza kusaidia raiya bora kupatikane njaro ya kuifanya ikuwe permanent. Juu sola iko kwa wingi alafu tena ni sare. Ambapo wadhii wako mashinani hawataachwa manyu tena na mambo zinaendelea kwa dunia bana.

Related Stories