Janta ninda ya taboo topic…

August 26 2015 12:57pm     0 978

Photo Credit:Alternet   Tingua risto

Kutoka tene, karibu kila society imekua ikishow waniaju wakamate mbuku kwanza, waks poa itakam. Na imekua hisivyo for long, lazima uchape miaka kadhaa ndani ya system, ukimalo ufanye tarmac kiasi ndio uwai waks ya kukusaidia kulipa mabills na madeni za hapa na pale. Bonga na pero yeyote ama msee ashapitia system, atakushow, hivyo ndio inafaa kufanywa. Lakini of late tumekua na riba different kiasi yake.

Riba ya Beverly Munga si any different juu yeye ni mjamo wa raiya wa 254, wenye walikula mbuku wakijua watarudi kuwai janta mwenda na kuomoka kimaisha. Lakini kama mayut fogo hasapa 254, alijikuta na Masters of Art Degree in Law baada ya miaka nane kuchopia UK lakini waks bado ilikua genje kuwai vile aliback hasapa 254.

Sa juu lazima angelipa bills na kusurvive kuishi kwa jiji lazima angesaka njaro ya kuwai mkwanja. Msus alikenga hasapa Kanairo yenyewe ni shamba la mawe na ingekua blanda kugive up kwanza after alikua amepitia challenges kibao hizo miaka zote ninda ya System. Hasapo ndipo idea ya kusaidia mambuus ilimuja na bizna ikajipa. Hisihi sio biz ya kukinda begiko, njuta  ama hata mbalas. Badala yake aliona ni poa adandie biz haina wasee wengi, biz ya kundonyo sex toys.

After kukazana na research kiasi, aligundua kumbe mambuus wengi kiasi yake wanapenda sana kujijazz ikimuja riba za lungula. Sio tu kwa wale eti hawana majamaa wa kusaidia kwa hiyo area. but madem design ya wote Ni venye hizi sex toys hurudi kuongezea spice pale-pale. Na kulingana na riba yake, kumekua na biz poa kutoka kwa mpaka machali wenye wanataka kuchocha wasupa wa kwao. Hii ni juu raiya mob sasa imekua ikitambua umuhimu ya kukua na life poa ikifika ni mambo za pale kwa bediko, lazima ushughulikie msus ama chali wa kwako kabisa.

Msupa Beverley amekuwa kwa mainstream media na social media akipiga advert za bidhaa zake. So kama uko interested unaweza skiza riba yake hasapa chini na unaweza mchapia pia. Unakenga aje hii riba, unaweza tumia Sex Toys mtaani?  

Related Stories