Katiba Mbichi

August 27 2015 10:50am     0 490

Photo Credit:Monitor   Tingua risto

Yaani ishafika miaka ngovo since tuwai hii Constitution nira? Yenyewe kuna vile time inakimbia. Mwaka ilikua 2010, tarehe ilikua 27 August na kila raiya hasapa 254 alikua either ako pale Uhuru Parka ama amebangaiza mbele ya mbulu nifla either mtaani, kwa local hivi ama bez any kucheki hii riba ya Constitution ikiwai signature ya orezo wa hio time, Obako. Umati yenyewe ilikua sodi pale Uhuru Park, wasee wa hasapa 254 pamoja na wengine wa kutoka mayolo walikam kucheki tukianuliwa Katiba nira yenye ilikua imefanyiwa waks kuruka. Yeneywe tumetoka far pia.

Ilianza na wasee kujaribu kupewa mistari kadhaa ndio waelewe mbona tunabadilisha katiba. Gava ilikua na waks ngumu juu ilikua muhimu kila msee aelewe ni nini nira itakam na hii katiba nira. Ilikua pia ni muhimu wasee waseme wanataka nini na wanataka nini ichujwe. Ikafika place ikabidi wasee wafanye kuamua ka kuna haja tuendelee na katiba ya tene ama tuwai mbichi. Hii ilikua Referendum. Wengi wetu wanakumbuka riba ya Ndizi na Chungwa. Leo ni miaka ngovo after hio day, na vitu kibao sana zimabadilika since tuanze kufuata hii katiba nira. From mambo ya Counties, gava, mabang'a, waks, opportunity za madem na vijanaa, transparency kiasi, tumekua tukisonga mbele kiasi yake na hii ni poa kwa raiya wote wa 254.

Saa hii raiya wanaweza changia budget na bile mkwanja zinatumika kwa mtaa, kuna opportunities zimesundwa specifically kwa madem na yout-man ikifika ni tender na waks kwa gava. Wasee wanakanjwa beteta kiasi yake pia kwa hizi janta. Hizi ni vitu kadhaa tu zenye wasee wanafaa kudai ka rights zao mtaani ama kwa offe ama system.

Blanda kubwa ilikua vile si wasee wengi walikua wanatambua rights zao. Na hii si juu ya kutotaka kujua but ni juu hakuna hii information openly kwa raiya. Saa hii ukidaisha tu unaweza pewa document ama information ka zote as long as ni public information na moja ya hizi ni katiba yenyewe. Kwa wale wasee bado hawajaimbuku either in English ama Swahili, kuna version iko translated hasapa. Unaweza ipitia mdogo mdogo, uelewe rights zako ndio kakinunga ujue unaweza fanya nini ama unaweza saidiwa na nani.

Mtaani unaweza sema ni nini imebadilika over the last five years either kitu poa ama ya udu?

Related Stories