Turudi daro…

August 27 2015 5:30pm     0 919

Photo Credit:Google   Tingua risto

Ukiwa unapenda kuchop mambuku kuna venye matamshi hutumika, njaro unatamani kurudi daro kuelewa zaidi. Enyewe kilami ikiwa ndio lugha ilimuja na meli. Itabidi tumerudi daro tena kujikumbusha kiasi.

Kumbe pia kwa kilami kuna matumizi ya slang, ikiwa ni njaro ya kutumia words za kawa lakini raiya yenye haiku kwa circle yako haitaelewa chenye mnabonga. Hisihi pia huchangia words na meaning nira kutokelezea. This round tunacheki words zenye zinaweza kutumika kumaanisha both good na bad, kulingana na vile itatumika kwa sentence.

Kwa mfano, tunacheki words kama; sick, ill na wicked zimetumika kushow positive vibe ata zikiwa zinajulikana kumaanisha vingine. Words zinengi kibao zimejikuta kwa hii ngori na inakaa itakuwa hard sana kubadilika. Kuna wadhii bado wanadebate wakidaisha hii njaro nira ya kubonga inaspoil ngoso na haifai kuendelea.

Bado unadaisha hiyo lesson ya kilami ama?

Related Stories