Kuhusu Benin…

September 1 2015 10:57am     0 628

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kulingana na Fon tribe kutoka husuko Benin, wanaamini mambo za ajaabu kuhusu waniaju wamegenya. Inadaishwa hisihi tribe ikona highrate ya kuwai waniaju twins. Lakini wengi hurudi kugenya juu ya ugonjwa za watoi na malaria.

Sa raiya wa huko humekisha effigies ama dolly za hao waniaju wamekamanyuria, ikiwa part ya voodoo religion. Wanapaswa kutreat hizo dolly kama watoi wao. Yaani, kumake sure wamedema, ni wasafi , kuwapeleka chuo na kuwekwa wadoze kwa bed zikona linen expe.

Wanaamini hizi dolly zikona spirit za hao waniaju wamekaukata na kwamba wakona power ya kuletea famo bahati poa ama mbaya, kulingana na vile watakuwa treated. Ambapo imekuwa ni kawa kucheki mafamo zikiduu hizi rituals. Alafu ngori huangukia wale hurudi kukinda hizo dolly kwa tourists, juu inaweza kulinganishwa na kukinda watoi wako.

Kila member wa famo hutake turns kushughulikia hizo dolly. Inaaminika hanaku nux itaangukia famo inacheki maslahi zao. Kwa wale wanataka kutravel kuna nursery ya kupeleka dolly zao. Alafu kumbe inadaishwa vile twins ama triplets wanagenya zaidi ndio wanawai good luck kwa wingi.

Related Stories