Wadhii wako ndedhe kama sahani!

September 1 2015 11:47am     0 680

Photo Credit:Twitter   Tingua risto

Baesa jamo iko husuko Australia, imeamua kushock wasee vimajor. Waliamua kuchukuwa mamodels na kuwadisplay kwa mameza wakiwa ndedhe. Kuzidisha mambuus walitumika kama sahani za kuwekelea matunda, bado wakiwa ndedhe ajaabu.

Hisihi ilikuwa inahappen kwa bash ya kulaunch baesa yenyewe. Usione vile raiya wamezusha kwa social media, wakidaisha walitumia madem vibaya.  Donga wa baesa alirudi kujitetea akidaisha, hanaku msee alipewa hiyo janta kilazima. Walijua lazima wangechuja cladi na wakakubali.

Alizidi kudaishawalikuwa wameng’ara ngotha zinafanana na ngozi alafu bado walifunikwa na fruits kwa hivyo, si kama walikuwa ndedhe kabisa. Unadhani kuna noma na chenye iliendelea husuko Cruize Bar ama ilikuwa stunt mwenda ya kujiadvertise?

Related Stories